Jinsi ya kutayarisha chumba cha mtoto (Nursery)

mmmh! yani kuna vituko, achilia mbali mwanamke anakwenda hospitali kuomba appointment ya kufanyiwa operation atolewa mtoto eti hataki kusukuma, na wakati huo keshafanya ultra sound anajua atapata mtoto wa jinsi gani basi kwa nyondo utamsikia anasema "JUMATANO NITAPATA BABY GIRL"
 
niliweka mstari kama mfano tu kwamba case ya hivo inaweza kutokea sio kwa udini.
 
Mkuu toka umekua umewahi kusikia mama kalalia mwanae akafa Lin?, teke la kuku halimuui mwanae. Anyway mambo ya chumba cha mtoto ni option ya mtu kama una interest hiyo fanya tu but for my opinion naona haina ulazima kama sio maana kabisa

Mkuu M hata kama hakuna cases zilizotokea basi ni sawa tu kufanya hivyo hata kama ni hatari?
Yaani mpaka ajali itokee ndo tujifunze?
Kwa nini tusizuie ajali kutokea kama inawezekana.

Lakini kama ulivyosema ni option ya mtu. Kuna case kama hii ilitokea lakini bahati nzuri mtoto aliokolewa. Ndio maana kwa upande wangu hata wazo tu kama hili linaniogopesha.
 
Umenichekesha eti watoto wachanga wanakula viporo.
Lakini mkuu kuna tatizo mtoto kuanza shule mapema, si ndio vizuri?!
 
me wangu nalala nae bado nahisi nitakamiss acha tu nikafaidi jamani raha
 
Mmh jaman mwaka na nusu au miaka miwili anaenda fanya nn shule si ndio mateso yanaanzia hapo kufinywa na walezi huko.
Umenichekesha eti watoto wachanga wanakula viporo.
Lakini mkuu kuna tatizo mtoto kuanza shule mapema, si ndio vizuri?!
 
Hahaa kuna wengine yaan hata hajafikisha siku za kujifungua anaforce kwa dokta ajifungue mapema kisa kachoka au anaogopa akiendelea subiri mpaka ajifungue kwa uchungu halisi ataibiwa mume.

Tena wa hivho anaweka na babyshower kila atoae zawadi anagusa tumbo la mama kijacho.

Mmh jaman mwaka na nusu au miaka miwili anaenda fanya nn shule si ndio mateso yanaanzia hapo kufinywa na walezi huko.

Hao walezi lazima watakuwa na matatizo sasa kufinya mtoto wa miaka 2, lakini ni vizuri kumuanzisha mtoto mafunzo mapema, ili akili ichangamke mapema.
 
Reactions: BAK
Mmh jaman mwaka na nusu au miaka miwili anaenda fanya nn shule si ndio mateso yanaanzia hapo kufinywa na walezi huko.
Binafsi naona si sawa kabisa mtoto kwenda shule akiwa katoddler kamiaka miwili mitatu yani nikumtesa na kumchosha shule mapema, miaka hiyo ni ya kucheza nyumbani na twenzake.
 
Utandawazi umetuchota kwa kasi ukipinga utaonekana mshamba.
Binafsi naona si sawa kabisa mtoto kwenda shule akiwa katoddler kamiaka miwili mitatu yani nikumtesa na kumchosha shule mapema, miaka hiyo ni ya kucheza nyumbani na twenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…