Jinsi ya kutengeneza barafu za kula (ice cream)

Ahsante sana bi dada, je? Kile kichupa kimoja cha vanila kiwekwe chote kwenye mchanganyiko huu au.
Kuna wengine nasikia wana chemsha uji wa unga wa ngano na kuuchanganya na ice cream ili ziwe laini je ni kweli?
Nalog off
 
Hapana usiweke chote weka vijiko vinne tu vinatosha

Uji wa unga wa ngano wapo wanaoweka na inakuwa laini ila inahitaji utaalam haswa kuupika huo uji bila kutoa mabonge mabonge.

Shukran sana bi dada kwa hii elimu yako
Nalog off
 
Hapana usiweke chote weka vijiko vinne tu vinatosha

Uji wa unga wa ngano wapo wanaoweka na inakuwa laini ila inahitaji utaalam haswa kuupika huo uji bila kutoa mabonge mabonge.
Kwahiyo kama itawezekana kuufanya ule uji wa ngano uwe laini, tunaweza kuutumbukiza mchanganyikoo huu?
Nalog off
 
Karibu sana mkuu
Ahsante sana, huku kwetu unga wa ubuyu haupo ila ubuyu upo, je ni njia gani niitumie ili niupate ule unga au nitumie hiyo lita 1.5 ya maji niuchanganye ubuyu wa kilo ngapi?
Nalog off
 
Ndio kisha mnauchanganya vizuri,ila uji wa ngano usiwe mwingi sana bali uji wa ubuyu ndio uwe mwingi.
Kwahiyo kama itawezekana kuufanya ule uji wa ngano uwe laini, tunaweza kuutumbukiza mchanganyikoo huu?
Nalog off
 
Hata ubuyu wa mbegu unafaa,kilo moja au moja na nusu kwa lita hio ya maji. Tena wa mbegu unachemsha maji ya yanachemka kabisaa kabla ya kuipua unauweka ubuyu ndipo unaipua sufuria na kuukoroga kisha uache upoe halafu unauchuja. Hapo kama ni mwepesi sana ndipo unaweka kidogo uji wa unga wa ngano,ila kama ni mzito kiasi haina haja ya unga wa ngano bali unaweka sukari,vannila na rangi(unaweza tenganisha mchanyiko kwenye vyombo mbali mbali ili kuweka rangi tofauti)

Kama hauna vanilla unaweza weka juisi ya jolly
Ahsante sana, huku kwetu unga wa ubuyu haupo ila ubuyu upo, je ni njia gani niitumie ili niupate ule unga au nitumie hiyo lita 1.5 ya maji niuchanganye ubuyu wa kilo ngapi?
Nalog off
 
Ahsante sana bi dada
Nalog off
 
Mbona nijuavyo mimi maziwa yakikutana na acid hasa citrus acid iliyomo kwenye vitu kama limao, ndimu na huo ubuyu mara moja huganda vipi hapo
 
Hapo sijui ila barafu za maziwa na ubuyu zipo tele mitaan na zipo vizuri tu. Labda wataalamu zaid wanaweza fafanua
Mbona nijuavyo mimi maziwa yakikutana na acid hasa citrus acid iliyomo kwenye vitu kama limao, ndimu na huo ubuyu mara moja huganda vipi hapo
 
Unga wa wanga!!! Ndio upi huo numbisa??
 
Mbona nijuavyo mimi maziwa yakikutana na acid hasa citrus acid iliyomo kwenye vitu kama limao, ndimu na huo ubuyu mara moja huganda vipi hapo
Maziwa yasio chemshwa au ata yaliochemshwa!! Maana yanayotumika hapa ni yaliyochemshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…