Jinsi ya kutengeneza barafu za kula (ice cream)


Kibanga Ampiga Mkoloni kwa hayo maelezo hapo kwenye red, inaonesha unatumika kama ilivyo ubuyu si ndio!!?
 
Ni wauzie bei gani wanafunzi ili niweze pata faida ka hako kamfuko?!
 
Kulingana na sehemu unayouzia kama sehem za ushuani basi bei inakua juu ila kama mitaan bei inakua sh 50 au 100.

Kwa uswahilin weka ubuyu pekee bila maziwa kuondoa gharama kubwa. Pia maziwa sio mpaka kopo la nido hata yale ya ngombe nayo wanatengenezea barafu.

Ili uwe na uzoefu zaidi wa biashara ya barafu ununue moja uionje,katika kuonja huko utagundua vitu vilivyohusika kuitengeneza barafu hio. Fanya kautafiti hako kisha utajua faida zake na hasara zake. Na jinsi wanavyofunga(kiwango cha barafu hizo)
Sidhani ka italipwa. Kopo la Nido bei yake sio mchezo.
 
Hapana usiweke chote weka vijiko vinne tu vinatosha

Uji wa unga wa ngano wapo wanaoweka na inakuwa laini ila inahitaji utaalam haswa kuupika huo uji bila kutoa mabonge mabonge.
Hivi haiwezekani kutumia unga wa sembe?
 
Aisee napenda sana ice cream za maziwa. Ila zile za kutengenezea kwenye kama viglass vidogo vya plastic za kuchomeka vijiti.. Mimi huwa natengeneza hizo



Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…