Jinsi ya kutengeneza barafu za kula (ice cream)

Unanunua ya unga

Yanapimwa dukani kwa wapemba
 
Bibie ivi unajua kua nmekumic sana, umebaki kuwa mdada wa pili kumuona jf toka nijiunge humu daaaah poa
Uuuuuh.... Nipo poa sana.. Za kwako... Miss you too
 
Mi nilifikiri kama hizi[emoji116] [emoji116]
 
Aisee napenda sana ice cream za maziwa. Ila zile za kutengenezea kwenye kama viglass vidogo vya plastic za kuchomeka vijiti.. Mimi huwa natengeneza hizo

Cc Smart911
Please please naomba picha ya hiyo mould ya "viglass vidogo vya plastic". Na ulinunulia wapi??
 
Asante sana,nitafanyia kazi
 
Aisee napenda sana ice cream za maziwa. Ila zile za kutengenezea kwenye kama viglass vidogo vya plastic za kuchomeka vijiti.. Mimi huwa natengeneza hizo

Vijiti unavipata wapi mkuu na vinatengenezwaje?
 
Vijiti unaweza chonga mwenyewe au waweza kwenda nunua supermarket
Aisee napenda sana ice cream za maziwa. Ila zile za kutengenezea kwenye kama viglass vidogo vya plastic za kuchomeka vijiti.. Mimi huwa natengeneza hizo

Vijiti unavipata wapi mkuu na vinatengenezwaje?
 
Mechi za mpira wa miguu za mchangani mapumziko eti walikuwa wanapewa hizo
 
naomba kuuliza hiyo corn flour kwanini unawekwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…