kofia ya plastiki
JF-Expert Member
- Jun 9, 2019
- 416
- 405
Za mifuko kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya msingi
packages za ice cream
Nitashukuru sana mkuuMkuu Niko ndani ya gari,nikiwa free ntakujuza,biashara hii ni tamu sana,namimi ndo nafanya kama chanzo cha kipato mbadala,inalipa sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umjuzie hapa nasie tuoneeee [emoji12]Mkuu Niko ndani ya gari,nikiwa free ntakujuza,biashara hii ni tamu sana,namimi ndo nafanya kama chanzo cha kipato mbadala,inalipa sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
gari umenunua kwa biashara ya barafu mkuuMkuu Niko ndani ya gari,nikiwa free ntakujuza,biashara hii ni tamu sana,namimi ndo nafanya kama chanzo cha kipato mbadala,inalipa sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Three Years.Hapana mkuu,niko kwa public transport Mr,bado sana japo narumain after 3 years to come ikiwa mungu ataniweka hai nitakuwa na kigari changu cha familia
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu bado hujamaliza safari yakoHapana mkuu,niko kwa public transport Mr,bado sana japo narumain after 3 years to come ikiwa mungu ataniweka hai nitakuwa na kigari changu cha familia
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za majukumu wakuu, naomba mwenye ujuzi wa biashara ya barafu(ice cream) anisaidie kujua mahitaji na jumla ya gharama inayo hitajika ili nianzishe biashara ya barafu na mbinu za kufanya ili nipate faida
Mifuko yake sh. 1000 inakaa 100
Sukari nusu sh.2,800
Flavor yoyote nzr mfano vanila,orange sh.1,500
Kalainishi sh.500
Ukwaju au ubuyu wa 1500
MAANDALIZI
_Chemsha ukwaju wako mpk uchemke,kisha acha upoe
_uchuje ili kuondoa mbegu
_chukua kiasi kidogo km kijiko kimoja cha kilainishi,chukua na juice kidogo ya ukwaju uliochuja,weka kwenye blender,saga vzr huku ukiongeza ile juice yako ili isiweke mabonge
kisha ichanganye na ile juice ingine,koroga vzr na uweke sukari kiasi na flavor yako kifuniko kimoja
onja sukari km imekolea vzr na angalia uchachu kama upo sawa
Maji yakutengenezea unakadiria
MSIPOELEWA MNAWEZA KUULIZA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwananyamala sokoniMkuu wapi huko wanako uza mifuko ya barafu kwa sh 1000 ili nianze kuwaletea na kuwauzia,mifuko ya barafu inakuwa 100 na inauzwa sh 250 hadi 350
Sent using Jamii Forums mobile app
Mifuko yake sh. 1000 inakaa 100
Sukari nusu sh.2,800
Flavor yoyote nzr mfano vanila,orange sh.1,500
Kalainishi sh.500
Ukwaju au ubuyu wa 1500
MAANDALIZI
_Chemsha ukwaju wako mpk uchemke,kisha acha upoe
_uchuje ili kuondoa mbegu
_chukua kiasi kidogo km kijiko kimoja cha kilainishi,chukua na juice kidogo ya ukwaju uliochuja,weka kwenye blender,saga vzr huku ukiongeza ile juice yako ili isiweke mabonge
kisha ichanganye na ile juice ingine,koroga vzr na uweke sukari kiasi na flavor yako kifuniko kimoja
onja sukari km imekolea vzr na angalia uchachu kama upo sawa
Maji yakutengenezea unakadiria
MSIPOELEWA MNAWEZA KUULIZA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kurahisisha,kuokoa muda na nguvu kazi anunue zile U-fresh za pakiti zipo za ladha mbalimbali kutokana na uhitaji wake,anatia kwenye freezer zikiganda anauza kama barafu(ice cream)
Sent using Jamii Forums mobile app