Jinsi ya kutengeneza barafu za kula (ice cream)

maelezo safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi vibiashara vidogo mpaka utoboe Mungu asaidie yaani vina faida kidogo sana ,labda kama unafanya supplying ya hali ya juu
 
Katika hapa chagua ambayo unajua wanafunzi wataweza kununua kulingana na kipato chao then nikupe darasa
-Za maziwa
- ukwaju
- Ubuyu
Hizo mimi ndiyo najua kutengeneza
 
hivi vibiashara vidogo mpaka utoboe Mungu asaidie yaani vina faida kidogo sana ,labda kama unafanya supplying ya hali ya juu
Hizi biashara zinafaida sana tena sana ukiwa serious
Uwe umejitoa kwa moyo kuzifanya
Uwe msafi
Iwe ya uhakika nikiwa na maana siyo Leo unayo hiki kesho huna chaleo kina hiki cha kesho hakina
Hizi biashara zinafaida mtu ukiwa serious
Watu zimetutoa mbali sana
 
Toa maelekezo Mehek anza NAMBA
1.
2.
3.
Kwa faida ya Taifa na chama!!!
 
Kuu uko siriaz kweli,kuna wakati Mimi huingiza elfu 20000 za barafu tu x 30 = 600.0000 kwa mwezi,wakati huo mshahara wangu ni chini zaidi ya hiyo ninayopata kwenye barafu,
hivi vibiashara vidogo mpaka utoboe Mungu asaidie yaani vina faida kidogo sana ,labda kama unafanya supplying ya hali ya juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: amu
Naomba uniwekee picha ya hiyo jagi lenye packet 72.
 
Ngoja nikuulize ukitumia hizo packet zilizopo kwenye jag sijui juice cola huko sukari? Nina rafiki yangu amefunga kiwanda sababu kuna mpinzani anauza hizo barafu sh 50 anatumia michanganyo ya juice cola na yeye anataka aanze kutumia hiyo ili vijana wake warudi.
Awauzie kwa jumla 50 wao wakauze rejareja 100.
Naomba unipe hatua kwa hatua imfae maana kiwanda keshafunga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
nataka wife Ator pisi 200 za kula weyewe asante kwa mwongozo Numbisa
 
Jamn nisaidie mm nikigndisha kwenye freezer mbona inaganda zile za pembeni tu hizo za katikati haigandi natumia Hisense freezer shida ni nini
 
Jamn nisaidie mm nikigndisha kwenye freezer mbona inaganda zile za pembeni tu hizo za katikati haigandi natumia Hisense freezer shida ni nini
Usizibananishe,acha kati ya barafun na barafu,je freezer yako ni mpya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…