MrWings
Senior Member
- Mar 10, 2022
- 155
- 335
Hamjambo marafiki, natumain mji wazima Leo hii nineamua kuchukua fursa hii kutoa mwingozo kiaina kwa yeyote ambaye anavutiwa na wazo la kumiliki blog.
Blog Ni nini ... Blog Ni kurasa za taarifa mbali mbali zeny kufuata kundi au aina ya taarifa, yaweza kuwa michezo,muziki,chakula nk
Mfano wa blog ni brieflyhow.com ,kikolani.com,millardayo.com nk
Jinsi yankuanzish ni rahisi Kama kufungua account ya Facebook ww tembelea website ya WordPress.com sign up Kisha chagua jina la blog example okon.com Kish click create Anza kupost post zako kwa maelezo ya kiundani tembelea hii tovuti wametoa maelekezo ipasavyo 👉brieflyhow.com