Ketamine JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 824 Reaction score 786 Aug 2, 2015 #1 Jamani wandugu anayejua kutengeneza Ice Cream zikawa kama hizi za Azam aniambiee. Napenda sana ice cream. Napenda kujua zinavyotengenezwa.
Jamani wandugu anayejua kutengeneza Ice Cream zikawa kama hizi za Azam aniambiee. Napenda sana ice cream. Napenda kujua zinavyotengenezwa.
M miss nuru JF-Expert Member Joined Oct 16, 2014 Posts 513 Reaction score 191 Aug 4, 2015 #2 Natamani kujifunza kitengeneza icecreame ya vanilla, kama kuna mtu anajua atujuze
Ynaa JF-Expert Member Joined Oct 18, 2013 Posts 252 Reaction score 174 Aug 5, 2015 #3 miss nuru said: Natamani kujifunza kitengeneza icecreame ya vanilla, kama kuna mtu anajua atujuze Click to expand... Ingia u tube utapata jifunza aina nyingi tuu
miss nuru said: Natamani kujifunza kitengeneza icecreame ya vanilla, kama kuna mtu anajua atujuze Click to expand... Ingia u tube utapata jifunza aina nyingi tuu