Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Natumaini mkopoa na mna afya njema na wagonjwa Mungu awape shufaa
Leo nashare na nyinyi jinsi ya kutengeneza juis tamu ya tikiti maji nzuri na yenye faida nyingi kiafya
Mahitaji
Tikitimaji kias inategemea na kias unachotaka
Vipande vya barafu(ice cubes)
Hatua
Kata tikiti maji vipande vidogo vidogo
Ondoa maganda
Kisha weka matikiti kwenye blender
Saga had yawe laini (hatuongezi maji)
Yenyew hutoa maji ya kutosha
Hatua ya pili
Chukua chujio lenye matundu mapana kidogo Ili yasizuie sana zile mbegu ziingie kwenye glass yabak makapi tu,chuja juis Yako kwenye chombo kingine (kuchuja sio lazima ni nzuri zaidi kunywa hivohivo)ila hakikisha inasagika vizuri
Hatua ya 3
Chukua glass weka vipande vya barafu kias upendacho mm Huwa natumia vitano had 7
Mininia juis kwenye glass na inakuwaje tayar Kwa kunywa
Juis hii Ina faida nying
-Huimarisha afya moyo
-Husafisha Figo
-Nzuri Kwa afya ya uzazi Kwa wanawake na wanaume
Faida Nyingine ongezeeni nyie ndugu zangu
Ice cubes/barafu