Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
weekend napenda kutengeza beats kwasababu kuu moja katika ya wiki naweza rudi nimechoka na njaa nikakosa cha kula beats zikanisev nikala nikalala
weekend hii niliamua kutengeneza kokoto
mahitaji
.Unga wa ngano
.sugar
.baking powder
.chumvi
.irick
.maji
.blueband
. mafuta
chukua unga wako wangano weka kwenye bakuri ndogo Inayotosha kukandia ngano yako.
weka ngano yako kwenye bakuri Kisha tia sukari kidogo na uweke na chumvi kidogo sana Kisha weka baking powder kiasi make sure haizidi pia utaweka mafuta kidogo sana Kisha weka maji kiasi then anza kukanda hakikisha ngano inakuwa ngumu japo mm sipendi iwe ngumu napenda iwe lain kiasi.
baada ya kuona ngano yako ipo vzr chukua ngano yako kata mabonge madogo madogo then sukuma na uchukue kisu ukate saizi ambayo wewe unapenda.
ukimaliza weka mafuta jikoni Kisha tia kokoto zako kwenye mafuta yakiwa teyari yamepata moto na hakikisha Vinakuwa na rangi kama hii
baada ya kumaliza chukua sukari na iriki weke kwenye maji maji yawe kidogo sukari iwe nyiki Kisha koroga maji yawe mazito ukiona maji siyo mazito basi weka sukari tena make sure sukari inakuwa nyingi
na baada ya hapo utaweka jikoni I ichemke lengo ni kukausha maji ukiona sukari inakaribia kuungua basi weka kokoto ulizo zikaanga Kisha pepeta utaona zinabadirika na kuaanza kuvutia
baada ya hapo zitoe weka kwenye chombo kisafi
juice unaweza tengeneza wewe unayopenda ila mm leo nimependa kutengeneza hii
mahitaji
.maziwa
.zabibu
.embe
.parachichi
.sukari
.vanila
Andaa matunda yako katika hali ya usafi Kisha brend na uchuje vizuri hakika utojutia
sio wanawake tu ndio wanajua kupika ata sisi wanaume tunajitahidi