Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Feb 5, 2025 #21 Joanah said: Bro Evelyn Salt Nafikiri leo tumwambie ukweli kwamba ni Cutlet/Catless na sio catress....ama tusubiri mwaka uishe? Click to expand... Wait kwanza, bro huyu catress wako ni wa kiume kweli??? Mbona haya majipishi wanawake wakasome..... Mwachiluwi naomba weekend nikutembelee
Joanah said: Bro Evelyn Salt Nafikiri leo tumwambie ukweli kwamba ni Cutlet/Catless na sio catress....ama tusubiri mwaka uishe? Click to expand... Wait kwanza, bro huyu catress wako ni wa kiume kweli??? Mbona haya majipishi wanawake wakasome..... Mwachiluwi naomba weekend nikutembelee
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Feb 5, 2025 Thread starter #22 Evelyn Salt said: Wait kwanza, bro huyu catress wako ni wa kiume kweli??? Mbona haya majipishi wanawake wakasome..... Mwachiluwi naomba weekend nikutembelee Click to expand... Karibu sana
Evelyn Salt said: Wait kwanza, bro huyu catress wako ni wa kiume kweli??? Mbona haya majipishi wanawake wakasome..... Mwachiluwi naomba weekend nikutembelee Click to expand... Karibu sana
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 Feb 5, 2025 #23 madogo acheni ujinga hadi kwenye kokoto nako mnajaribu... aisee mtaoa kweli kwa mwendo huu
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Feb 5, 2025 #24 Hongera mkuu
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 22,527 Reaction score 79,976 Feb 5, 2025 #25 Evelyn Salt said: Wait kwanza, bro huyu catress wako ni wa kiume kweli??? Mbona haya majipishi wanawake wakasome..... Mwachiluwi naomba weekend nikutembelee Click to expand... Catress wangu inasemekana ni wa kiume,sina uhakika lakini Catress anajua kupika kokoto wewe bro upo tu unapambana kuacha pombe
Evelyn Salt said: Wait kwanza, bro huyu catress wako ni wa kiume kweli??? Mbona haya majipishi wanawake wakasome..... Mwachiluwi naomba weekend nikutembelee Click to expand... Catress wangu inasemekana ni wa kiume,sina uhakika lakini Catress anajua kupika kokoto wewe bro upo tu unapambana kuacha pombe
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Feb 6, 2025 #26 Joanah said: Catress wangu inasemekana ni wa kiume,sina uhakika lakini Catress anajua kupika kokoto wewe bro upo tu unapambana kuacha pombe Click to expand... Na bado sijafanikikwa kuacha 😂😂 Huyu catress ni hatari, anajua hadi sio poa
Joanah said: Catress wangu inasemekana ni wa kiume,sina uhakika lakini Catress anajua kupika kokoto wewe bro upo tu unapambana kuacha pombe Click to expand... Na bado sijafanikikwa kuacha 😂😂 Huyu catress ni hatari, anajua hadi sio poa