abdirisak
Member
- Jan 6, 2018
- 9
- 8
Hallow guyz,
Ebhana mimi ni kijana mjasiramali lakini katika pitapita zangu mitandaoni nikakutana a video moja ya jamaa moja akiwa ana refine mawese kwenda mafuta haya yakina korie bila machine..
Sasa wadau kwa kipindi ile nilichoona yule bwana akifanya mandigo yake sikuwa intrested na huo ujuzi.
Sasa katika harakati za kulegeza vyuma visinikaze nikaona ni opportunity ya kupiga pesa na ule ujuzi wa yule bwana.
Mana kwa hapa nilipo kuna mawese ya kutosha na uhitaji wa hayo mfuta ya sampuli ya kina Korie na Safi zina hitajika kwa kiwango cha kutosha na bei za hizo bidhaa ni kubwa kutokana na umbali.
Sasa wadau nilichokuwa nakitaka mdau ambae ana clue yeyote na jinsi ya kurefine crude palm oil to cooking oil (korie) tupeane maarifa ili tuweze kujinasua na hivi vyuma visije kutukaza.
Note; soko lipo sio hapa tu mpaka kupeleka nchi jirani