Jinsi ya kutengeneza sabuni za miche nyumbani kwa ndimu tu

Pombe kali 500ml ni visungura karibu vitatu. Au ubapa maarufu Faru John ile iliyopata umaarufu kupitia Mbowe.
Sukari 500g nusu kilo hiyo.
Hii sabuni itakuwa aghali sana. Bora ununue tu dukani.
Visungura chupa mbili... Bado hujaelewa tu?
 
ukitengeneza ikiwa bado iko katika hali ya umajimaji inabidi uipime pH kwa kutumia pH meter iwe 8 mpaka 10 isizid hapo "
 
Hiyo namba 1.viunzi ni nini?
 
Tupe uhalisia wa kinadharia, materials ya kiasi gani, kwa mche mmoja
Haizidi buku
How?,
Je hii formulae uliyotuwekea hapa ni kwa ajili ya miche mingapi?
####

SABUNI YA NDIMU YA NYUMBANI
VIUNGO :
500 ml ya maji
500 g ya sukari
70 ml ya maji ya limao
500 ml ya pombe kali yoyote
Paa 2 200g ya sabuni ya limau ya glycerin
 
Sina ufafanuzi mwingine zaidi ya huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ