Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Ahsante sana ,sisi ambao hatuna oven tunaweza tunazikaangaje karanga zetu na kwa dakika ngapi ili nasi tujitengenezee?karanga uliyo ikaanga ukaitoa au usiitoe maganda ukiisaga vizuri bila kuweka asali+chumvi+mafuta yoyote yale haina haja ya kuweja katika friji kwani inatoa nsfuta yake ambayo ni kihifadhi chakecha asili(natural preservatives)haiharibiki hata mwaka mzima
andaa karanga zako kwa kuzichagua nzimana zisizo na uchafu kisha fanya hivi:-Ahsante sana ,sisi ambao hatuna oven tunaweza tunazikaangaje karanga zetu na kwa dakika ngapi ili nasi tujitengenezee?
Nalog off
Ahsante sanaandaa karanga zako kwa kuzichagua nzimana zisizo na uchafu kisha fanya hivi:-
1.ANDAA MCHANGA KM KILO 3 UUCHEKECHE KUTOA MAWE, UKOSHE ANIKA UKAUKE
2.ANDAA MOTO WA MKAA WA WASTANI
3. WEKA MCHANGA KTK SUFURIA KAVU UBANDIKE JIKONI NA ACHA UPATE MOTO SANA
4.TUMBUKIZA KARANGA NDANI YA MCHANGA HUO
5.ENDELEA KUCHANGANYA KARANGA NA MCHANGA HADI ZITOE HARUFU NZURI NA KUBADILIKA RANGI NA KUWA KAMA KIJIVU .HAPO ONJA UPATE LADHA YA KARANGA ILIYO IVA VEMA.
6.EPUA ACHA ZIPOE SAGA TAYARI KWA MATUMIZI!
N:B MCHANGA HUO NI KWA KARANGA KILO 1,2 -3