Hapana napinga.
Springrolls zinapikwa kama sambusa au kama unavyopika chips,kwenye mafuta yaani you deep fry.Kesho nitawafundisha jinsi ya kutengeneza wrappers kwa njia rahisi,kwa kirtaalam zinaitwa manda.Manda inayotumika kufungia sambusa ndiyo hiyo hiyo ya springrolls mkato tu ndio tofauti