Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
Licha ya kutumika kama chakula cha kawaida,boga pia huweza kutumika kutengezea supu ambayo ni nzuri na nzito
twende moja kwa moja.
MAHITAJI:
BOGA
CARROT
LEEKS
ROSEMARY
BLUEBAND
SALT
MAZIWA
ONION
CHUJIO
BLENDER.
JINSI YA KUTAYARISHA.
osha boga lako vizur na ulimenya,toa maganda yote na upasue
ondoa kamba za ndani na mbegu.
katakata boga lako katika vipande vya saizi
osha karoti zako,menya na uzikate kate,changanya na maboga ulokwisha menya.
katakata leeks zako na vitungu kidogo sana,(vitungu vyeupe)changanya vyote kwa pamoja na uweke maji (unaweza tumia stock kama unayo) weka jikoni na acha ichemke mpaka kulainika kabisa kwa dakika 30 mpaka 45.
weka chumvi na acha iive zaidi.
wakati huo fanya kama unasaga au kukoroga kama uji.
vikiwa uji,tegua na chukua blender yako.
we uji wako huo ktk blendere na usage hadi ulainike kabisa.
chukua chujio lako kubwa na chuja,yale mabak weka pembeni.
chukua sufuri nyigine na uweke blueband,ikisha yayuka weka supu yako ulosaga,ongeza maziwa yako kidogo.
subiri dakika 8,tegua