Jinsi ya kutengeneza Tomato sauce

Ukweli ni kwamba vifungashio ni tatizo, nilitafuta vifungashio vya wine, nilienda hadi SIDO Mwanza, wakataka kunipatia chupa bila mifuniko - ikawa kiwazo - nikaachana na hiyo shughuli ya kutengeneza wine.
Sasa linapokuja suala la Tomato, naona vifungashio vitanieletea shida tena!
 
Nimependa sana somo asante,hata Mimi neno rangi limenisumbua ila nashukuru nimeelewa.

Hapa utusaidie au kama Kuna MTU anafahamu taratibu na gharama TFDA,TBS,TRA niliwahi pata changamoto kwenye bidhaa za vyakula usindikaji nafaka/unga nilipokua natafuta Soko kwenye supermarket niliambiwa niwe na TIN,TFDA,TBS approval ,ukweli kwa wajasiriamali wadogo ni changamoto,sijui hii mkuu imekaaje .
 
Wakati unaanza usiende kwenye super market, anza na wauzaji wadogo wadogo wa mitaani ... business ikikubali ndo uanze utaratibu wa kusajiriwa.
 
Nashukuruni kwakuelewa somo langu vyema
Naimani mungu atabariki kazi zamikono yangu nayenu

Kwaku share aidia nanyi masikini wenzangu tuweze kujikwamua nasisi

Naomba niwaelekeze jambo kwakua ninyi mnaanza haina haja ya kuanza na huko supermarket kwanza pata wakatisha tamaa mapema

Ushauri mnaweza kwenda katika vibanda vya chips vilivyopo karibu nanyi nakuweka oder ya kuwapelekea mzigo wenu

Iliuwateke kirahisi
Kwanza fanya uchunguzi ujue wananunua bei gani
Litatano ya dumu latomato
Ikiwa labda wananunua 6000
Basi ww punguza 500 hapo

Itasaida kuwashawishi nakuweza kupata order nyingi zaidi

Biashara itakapo changanya sawa waweza fata taratiby bidhaa yako ikajulikana kisheria
 
Wakati unaanza usiende kwenye super market, anza na wauzaji wadogo wadogo wa mitaani ... business ikikubali ndo uanze utaratibu wa kusajiriwa.
Ni kweli kabisa, wajasiriamali wengi wanakimbilia kupeleka bidhaa zao masupermarket huku wakiacha maduka madogo mitaani ambako ndiko kwenye walaji wengi...
 
Mbn naona Mbegu za nyanya zipo?hazina shida kwa wateja kugoma kununua?
Mkuu unatakiwa ufanye
Separate ya mbegu kabisa

Menye nyanya kisha chukua nyama tu mbegu ziweke pembeni.

Wewe dili nanyama. Yanyanya pekee

Kwamatumiz ya kwako waweza weka mbegu ila kwamatumiz ya sokoni nibora kutoa mbegu mkuu
 
Asante mkuu
 
Njia ipi naweza kutengeneza tomatoes paste?
 
Asante chibudee, u meonyesha njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…