Jinsi ya kutengeneza uso ukiwa nyumbani

Jinsi ya kutengeneza uso ukiwa nyumbani

Catarina anna

Member
Joined
Jul 26, 2019
Posts
14
Reaction score
7
Chukua maziwa ya mgando na utumie kusafisha uso wako kisha scrub kwa kutumia mchanganyiko wa mlozi na karoti au mlozi wa jani la chai.

Baada ya hapo fanya toning na maji vuguvugu yaliyochanganywa na kipande cha limao na weak kidogo katika taulo la pamba na futa uso wako mahali pote kasoro penye tatizo. Tumia ute mweupe ambao utakuwa umemwagia katika taulo lako na kujisugua taratibu.

Jisafishe na maji ya vuguvugu kisha fanya toning tena kama ilivyokuwa katika hatua ya tatu juu Ili kuondoa ukavu wa ngozi, kata matango na yabandike katika ngozi.
 
Picha ya mbegu za Lozi(Mlozi)

download.jpg
 
Back
Top Bottom