jinsi ya kutengeneza window cleaner

jinsi ya kutengeneza window cleaner

ustadhijuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
3,021
Reaction score
1,978
Dawa za kusafishia, kungarisha na kupendezesha vioo
MAHITAJI
-sabuni ya maji
-vinegar
maji
JINSI YA KUTENGENEZA
Tia maji lita 10 kwenye plastic,sabuni ya maji lita 1,vinegar lita 1 kisha koroga kuelekea upande mmoja kwa dakika 45-50..Kisha paki bidhaa zako kwenye chupa maalum zenye nembo ya jina lako la biashara nenda ukauze ...
 
cost of production ni ngapi; na washindani (bidhaa nyingine madukani na za mchina ni bei ) na wewe unauzaje
 
bei inategemeana na wahitaji, mi naandaa na kuuza kwa wanaonijua.
 
Dawa za kusafishia, kungarisha na kupendezesha vioo
MAHITAJI
-sabuni ya maji
-vinegar
maji
JINSI YA KUTENGENEZA
Tia maji lita 10 kwenye plastic,sabuni ya maji lita 1,vinegar lita 1 kisha koroga kuelekea upande mmoja kwa dakika 45-50..Kisha paki bidhaa zako kwenye chupa maalum zenye nembo ya jina lako la biashara nenda ukauze ...
Sabuni ya Maji nihipi iyo
 
Back
Top Bottom