Dawa za kusafishia, kungarisha na kupendezesha vioo
MAHITAJI
-sabuni ya maji
-vinegar
maji
JINSI YA KUTENGENEZA
Tia maji lita 10 kwenye plastic,sabuni ya maji lita 1,vinegar lita 1 kisha koroga kuelekea upande mmoja kwa dakika 45-50..Kisha paki bidhaa zako kwenye chupa maalum zenye nembo ya jina lako la biashara nenda ukauze ...