Jinsi ya kutengeneza You Tube channel

Huyu mwamba alipoteleaga wapi mwanzoni alikua anajiita Kasomi TV
 
Issue ni ukishapata followers wa kutosha, unafanyaje ili pesa ianze kuingia? Je pesa inaingia bank moja kwa moja? Vigezo gani vinatakiwa ili nianze kupewa pesa? Na je Taarifa zangu za bank account nk. Naziweka sehemu gani? Na je kuna taratibu zingine za kikanuni/kisheria za kukamlisha kama vile TRA Nk?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…