Jinsi ya kutengeza beat simple ya Trap kwenye fl studio

Mi napenda sana haya mambo ila sijawai ona tutorial online ya kingereza wala kiswahili ya kunifundisha FL ikiwa sijui kinanda, vipi mkuu, uki weza ku cover hiyo part, tena kwa kiswahili utakua umetusha na hapo ndo shida ya wengi ilipo.

Tutorial nyingi zina asume una basics za music theory.
 
Shukrani nitalifanyia kazi kuanzia tutorial inayofata. Jina la channel SGB STUDIOS SGB STUDIOS
 
Safi sana nilikuwa natumia kitu hii back in the days damu ikiwa inatamani kufanya kila kitu tena nilikuwa na desktop la window kama sio xp basi ni 7 hapo sina hata kinanda ni mwendo wa kupanga gun kwa mouse
 
Mi napenda sana haya mambo ila sijawai ona tutorial online ya kingereza wala kiswahili ya kunifundisha FL ikiwa sijui kinanda, vipi mkuu, uki weza ku cover hiyo part, tena kwa kiswahili utakua umetusha na hapo ndo shida ya wengi ilipo.

Tutorial nyingi zina asume una basics za music theory.
Pole sana mkuu, pole
Music bila piano theory ni zero knowledge. Jifunze piano keys
Afu uzuri wake unaweza transpose, mfano ukiweza tu kupiga C na Cm basi utazibadilisha, ziwe key unayoitaka, lakini ni mbaya kama una malengo ya kwenda mbele zaidi, kwasabu utakutana na ma Roland kutranspose huwezi kabisa, inabidi upite mulemule, hususani ukiwa live.

Binafsi piano sikuanzia kanisani, ila mpaka naweza piga nilianzia B#m ila baada ya hapo keys nyingine hazikunisumbua kama F# ambayo wanapiga sana watu wa gospel ila miziki ya kidunia hawawezi japo wanaipenda.
 
Aisee nimesoma mpk nimechanyikiwa!

Kweli kitu kama si passion au kipawa chako utakiona kigumu sana
 
Safi sana nilikuwa natumia kitu hii back in the days damu ikiwa inatamani kufanya kila kitu tena nilikuwa na desktop la window kama sio xp basi ni 7 hapo sina hata kinanda ni mwendo wa kupanga gun kwa mouse
ndio wengi tumeanzia huko mkuu..tutafika tu..
 
Pole sana mkuu, pole
Music bila piano theory ni zero knowledge. Jifunze piano keys
Afu uzuri wake unaweza transpose, mfano ukiweza tu kupiga C na Cm basi utazibadilisha, ziwe key unayoitaka, lakini ni mbaya kama una malengo ya kwenda mbele zaidi, kwasabu utakutana na ma Roland kutranspose huwezi kabisa, inabidi upite mulemule, hususani ukiwa live.

Binafsi piano sikuanzia kanisani, ila mpaka naweza piga nilianzia B#m ila baada ya hapo keys nyingine hazikunisumbua kama F# ambayo wanapiga sana watu wa gospel ila miziki ya kidunia hawawezi japo wanaipenda.
Mkuu ulitumia muda gani kumaster piano? Majukumu yanafanya nakosa muda kukaa na walimu.
 
Back
Top Bottom