Shukrani nitalifanyia kazi kuanzia tutorial inayofata. Jina la channel SGB STUDIOS SGB STUDIOSMi napenda sana haya mambo ila sijawai ona tutorial online ya kingereza wala kiswahili ya kunifundisha FL ikiwa sijui kinanda, vipi mkuu, uki weza ku cover hiyo part, tena kwa kiswahili utakua umetusha na hapo ndo shida ya wengi ilipo.
Tutorial nyingi zina asume una basics za music theory.
Pamoja sana mkuu.Shukrani nitalifanyia kazi kuanzia tutorial inayofata. Jina la channel SGB STUDIOS SGB STUDIOS
Pole sana mkuu, poleMi napenda sana haya mambo ila sijawai ona tutorial online ya kingereza wala kiswahili ya kunifundisha FL ikiwa sijui kinanda, vipi mkuu, uki weza ku cover hiyo part, tena kwa kiswahili utakua umetusha na hapo ndo shida ya wengi ilipo.
Tutorial nyingi zina asume una basics za music theory.
Aisee nimesoma mpk nimechanyikiwa!Pole sana mkuu, pole
Music bila piano theory ni zero knowledge. Jifunze piano keys
Afu uzuri wake unaweza transpose, mfano ukiweza tu kupiga C na Cm basi utazibadilisha, ziwe key unayoitaka, lakini ni mbaya kama una malengo ya kwenda mbele zaidi, kwasabu utakutana na ma Roland kutranspose huwezi kabisa, inabidi upite mulemule, hususani ukiwa live.
Binafsi piano sikuanzia kanisani, ila mpaka naweza piga nilianzia B#m ila baada ya hapo keys nyingine hazikunisumbua kama F# ambayo wanapiga sana watu wa gospel ila miziki ya kidunia hawawezi japo wanaipenda.
ndio wengi tumeanzia huko mkuu..tutafika tu..Safi sana nilikuwa natumia kitu hii back in the days damu ikiwa inatamani kufanya kila kitu tena nilikuwa na desktop la window kama sio xp basi ni 7 hapo sina hata kinanda ni mwendo wa kupanga gun kwa mouse
Mkuu ulitumia muda gani kumaster piano? Majukumu yanafanya nakosa muda kukaa na walimu.Pole sana mkuu, pole