Matibabu yake yapo ya aina mbili
1. Apply Triangular arm sling kwa week 4 hadi 6 au kuapply figure of 8 for the same period.
2. Kama upo karibu na hospital ambayo ipo well equipped huwa tunaweza kufanya open reduction yaani kuunganisha mfupa kwa upasuaji. Na hii ni zuri zaidi coz unakuwa comfortable soon after operations tofauti na hiyo ya closed reduction ya kwanza hapo juuuuuuuuuuuuuuuu ambayo failure rate huwa ni kubwa.