Jinsi ya Kutibu Vidonda Katika Ulimi Wako

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Ramba kijiko kimoja cha Asali safi ya nyuki kutwa mara 3 hutibu vidonda kwenye ulimi wako na kuvimaliza.

Onyo:: Asali yenyewe isiwe Asali feki aka Asali iliyochakachuliwa haitaweza kukutibu hivyo Vidonda vyako kwenyeUlimi.

MziziMkavu asante sana mkuu.. umenisaidia mengi sana.. Mungu akubariki sana.
 
Last edited by a moderator:
Ramba kijiko kimoja cha Asali safi ya nyuki kutwa mara 3 hutibu vidonda kwenye ulimi wako na kuvimaliza.

​ ​

Mimi huwa nakula machungwa kwa wingi mara tu nipatapo vidonda vya ulimi na baada ya siku kama 3 hadi 4 huwa napona, vipi nayo ni tiba sahihi?
 
Ni Kweli hili tatizo limenisumbua kwa muda mrefu..... Vikitokea vidonda katika ulimi Hata kuongea inakuwa shida sana. Likirudia tena nitajaribu hii tiba...
 
Thanx for such information.... Is useful to me. Be blessed MziziMkavu much respect....
 
Last edited by a moderator:
Mimi huwa nakula machungwa kwa wingi mara tu nipatapo vidonda vya ulimi na baada ya siku kama 3 hadi 4 huwa napona, vipi nayo ni tiba sahihi?
Machungwa ndio yenyewe kwa vidonda vya ulimi ukiwa navyo unakuwa na upungufu wa Vitamini C na machungwa yana Vitamini C kwa wingi sio tu ule Machungwa wakati una vidonda vya ulimi unatakiwa kila wakati uwe unakula Machungwa na matunda mengine kwa afya yako.

Asante mkuu, nitazingatia ushauri huu.
 
Je kwa mtoto wa mwaka 1 na nusu unatumiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…