Mimi ni wakala mpya wa Airtel Money, nilikuwa naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kutoa hela kwa njia ya meseji, pale mteja anapokuja na kuomba kutoa pesa akiwa amepewa pin ya siri ili atoe pesa kwa wakala wa Airtel Money.

Fungua menu ya airtelmoney
1. *150*60/=
2.Toa pesa
3.Toa pesa kwa message.
4.Ingiza kiasi Cha pesa mteja alichotumiwa
5. Ingiza namba ya simu ya mpokeaji
6.Ingiza Pini ya Siri ya kutolea hela kama ilivyoandikwa kwenye sms.
7 Ingiza namba yako ya Siri
Ombi lako limefanikiwa Angalia sms kiasi Cha hela kimeingia kwako mpe mteja hela yake. Ahsante