February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Dah kupangiana appointment na mwanamme mwenzio ndonini sasaWewe nenda sawa na yeyote atakayejichanganya cha msingi usitume pesa mpaka muonane.
Nice, ila kuruka na men mwenzio sio ishu wala nnJamani
Ohho
Aah
Na nk watu wanaopenda kutumia abbreviations wote ni KE
Then hata akiwa ME ruka nae maana hilo sio kosa lako.
Ni kamtaa humuhumu jf, kwa mguu unaweza kupotea..panda bajaji mwambie nashuka MUM alipo dem mmoja anaitwa Love connect, , watakupeleka.MUM ni wapi?
Aaahah nadhani itakuwa ngumu kufake mwandikoLakini ata hvyo ukumbuke kuwa wote wanasoma hapa, so wanajifunza[emoji4]
Nsaidie hata 2 tu nishuke nao jumlajumlaJF ina jinsia ya kike watatu
Kazi kwako
Hahaha..JF ina jinsia ya kike watatu
Ahaa kumbe wanaolike sana ni KE??Ukiona like nyingi kwako kwenye uzi/comments,hao ni jinsia "ke" ruka nao,zama PM washushie mistari😅
Unafahamu maana ya mkwepu?utakosa bahati 😅 kijanaAhaa kumbe wanaolike sana ni KE??
Kumbe mkwepu jr ni KE?
[emoji23][emoji23]JF ina jinsia ya kike watatu
Kazi kwako
Sure, mzee nipe ramaniUnafahamu maana ya mkwepu?utakosa bahati 😅 kijana
Au nikudirect kwa wachumba hapa
Weka sifa na umri unaohitajiSure, mzee nipe ramani