Jinsi ya kutrack simu iliyoibiwa

Fibanochi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
476
Reaction score
1,018
Wakuu, habari za weekend!
Hv kuna mtu anajua app au web yyt ambayo mtu anaweza kuitumia ili kutrack simu iliyoibiwa kwa kutumia imei number?
 
Aisee hapo nnachokijua, baada ya kuibiwa simu yako, nenda polisi ukiwa na IMEI pamoja na risiti ya cm iliyoibiwa polisi wao wanajua chakufanya, na namna ya kuipata hiyo cm.
 
Aisee hapo nnachokijua, baada ya kuibiwa simu yako, nenda polisi ukiwa na IMEI pamoja na risiti ya cm iliyoibiwa polisi wao wanajua chakufanya, na namna ya kuipata hiyo cm.
Asante ntafanya hvy
 
Njia ipo na polis wanahubiri kupewa information na mtandao husika, nakutumia namba ya mtu mpigie atakupa maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…