Jinsi ya kutuma maombi ya kazi kwenye email

Jinsi ya kutuma maombi ya kazi kwenye email

Joined
Jun 29, 2024
Posts
7
Reaction score
8
Mwenye ujuzi jamani naomba anifafanulie jinsi ya kutums maombi ya kazi kwenye email, bado sijajua kama documents zote tunaziweka kwenye pdf moja au tunazitenganisha maana unakuta nafasi nyingine za jazi zinazotoka hawasemi kama documents zote ziwe kwenye pdf moja au vipi.

Mwenye ufafanuzi jamani anijuze.. 🙏
 
Back
Top Bottom