Jinsi ya kutumia bonus katika kampuni ya 888starz.bet

Marealle

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
14
Reaction score
13
Naomba kueleweshwa jinsi ya kutumia bonus kwenye hii kampuni, nimeshindwa kuitumia na nina mashaka muda wake unaweza kuisha. Natunguliza shukrani
 
Masharti yale yale ya 1xbet.
Nadhani unaizungusha mizunguko kadhaa kisha hiyo amount itakuwa credited to you main account na hapo ndio utatoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…