Jinsi Ya Kutumia Formula ya AIDA Kuandika Matangazo Yenye Kunasa Wateja

Dr said mbona sasa hivi hupandishi tena masomo humu jukwaani.
Hata website yako huu update masomo kwa nini mkuu!!

Jamii Forums walikuwa wakini block baadhi ya wakati ndio maana nilipotea kidogo.

Kuhusu website tunafanya major redesign & update kwa ajili ya 2020. Ikiwa hewani tutajitahidi ku update content mule.

Kupata update zangu mpya nenda hapa kwa sasa Siri ya Kunasa Wateja – Online Profits
 
Mkuu naomba uwe mentor wangu kwenye copywriting kama hutojali
Napata request nyingi ya mentorship ila wanafunzi wengi ikija kwenye execution wanakuwa hawapo serious. Upo tayari kufanya kazi?
 
Good

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…