Jinsi Ya Kutumia JamiiForums

Jinsi Ya Kutumia JamiiForums

Joined
Jul 26, 2012
Posts
24
Reaction score
3
Wadau Mimi ni Mtumoiaji Mpya wa jamiiForum Ningependa kupata maelekezo ya Jinsi ya Kuitumia toka kwenu Kama una Chochote Ukijuwacho Naomba unijulishe na Mimi Pia.!!
 
kajiunga 2012 jinsi ya kuitumia anauliza leo tupaaaaaaaaaaaaa kuleeeeeeeeeeeee msumbufu huyu.
mijitu mingine bana sijui ikoje

Inawezekana aliingia au alijiunga hiyo 2012 lakini akawa haingii kuchangia issues! Msaidie bana.
 
Ok usijali,vipi ile user guide uliyopewa mara baada ya kujiunga bado unayo?
 
Wadau Mimi ni Mtumoiaji Mpya wa jamiiForum Ningependa kupata maelekezo ya Jinsi ya Kuitumia toka kwenu Kama una Chochote Ukijuwacho Naomba unijulishe na Mimi Pia.!!

mkuu chitchat ni msuba kwa kwenda mbele tena wa tarime,nakushauri uende jukeaa la teknolojia,pole sana.
 
Ifungue toka kwenye box lake then itoe JF utakuta imeambatana instruction paper isome kw umakini sana.In case umeinunua kwa mtu(Used JF) muulze aliye kuuzia akupe maelezo na ufafanuz wa kina"estupidez
 
Back
Top Bottom