Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kma kuna njia kuifanya laptop ichukue input kutoka kwenye king'amuzi. Sijawahi ona, na kusearch mtandaoni inaonekana hamna njia ya kufanya hchoHabari za humu ndani,
Nina king'amuzi cha Azam TV nahitaji niunganishe na Kompyuta mpakato. Kwa anayefahamu namna ya kuunganisha naomba anielekeze
Shukrani.
AhsanteNaona ushajibiwa. Hii ni technolojia tuliyokuwa tunatumia zamani wakati wa TV za analogy. Unapotumia TV tuner unaweza kupokea analog signal kutoka kwenye Dikoda au deki, na pia tuner inaweza kushika FM radio, unaweza kurekodi vipindi vya TV na Redio na hii ndio iliyokuwa inatumika na wale maDJ waliokuwa wanatafsiri movie kwa kiswahili.
Ahsante KiongozTumia usb turner card inayosapoti waya hdmi.
Amazon product ASIN B08C9QY6C4View attachment 1568568
Hii stick inaweza ku-read video na audio toka vifaa tofauti ila inahitaji waya ya usb. Kwa tanzania sijui inapatikana sehemu gani ila USB stick ambazo nimeziona ni zile zinazopokea Terrestrial(channel za bure).
Ijaribu hiyo.
Na aliexpress zipo za bei nafuu na pia zinaweza ku-capture video za muundo wa mpeg-4 satellite nyingi wanatumia huu muundo.
View attachment 1568593
US $6.7 |New Arrival USB 2.0 Easycap Capture 4 Channel Video TV DVD VHS Audio Capture Adapter Card TV Video DVR Free Shipping|video dvr|audio captureeasycap capture - AliExpress