Jinsi ya kutumia Twitter

Jinsi ya kutumia Twitter

Takumi

Member
Joined
May 10, 2020
Posts
36
Reaction score
74
Wakuu naomba mnifahamishe namna ya kutumia Twitter sababu imefungiwa, je kuna namna nyingine yakutumia?
 
Download VPn
jamani tuelimisheni maana tumeshadownloan hiyo VPN lakini kuendelea hapo tunakwam
tusaidieni wasije ifungia hata hii Jamii Forum
1603777877886.png
 
VPN ipi ni rahisi kutumia maana kila unayopewa lazima ufanye addition of payment method
 
VPN ipi ni rahisi kutumia maana kila unayopewa lazima ufanye addition of payment method
ni kweli wanataka kulipia hata hiyo trial yao haikubali
jamani milioko Twiiter tuambieni huko Visiwani kura zinaendeleaje?
Duuh ata insta nayo chenga leo
Instragam sasa inafunguka fresh lkn Uchaguzi sijaona kitu
 
Download ufo vpn ni nzuri mno.Utaingia twitter na kwingineko kote kwa speed ya kimbunga.
 
Wakuu naomba mnifahamishe namna ya kutumia Twitter sababu imefungiwa, je kuna namna nyingine yakutumia?
Subiri uchaguzi uishe kid alafu uchague kiswahili translate from google utakua twiter tiari
 
Back
Top Bottom