Jinsi ya kutunza pH ya Uke(Vaginal pH)

Hb wa Ilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,189
Reaction score
1,217
Maana Ya pH ni Potential Hydrogen whereby pH scale Inaanza from 0-14 ambapo 1-5 ni acidic na 8-14 ni Basic. Kwa kawaida mwili wa Binadamu una pH yake na pH ya Vagina(Uke) ni kuanzia 3.8-4.5 nikimaanisha vagina ni acidic In nature!

Ipo hivyo so as to favour ukaaji wa bacteria fulani wanaitwa Lactobacilli ambao kazi yao kubwa ni kulinda uke from Infections mbalimbali giving it a certain smell na the fluids unazoziona kule ndo lactobacilli acid ambayo kazi yake ndo Hiyo, kwahiyo ikiondoka tu hiyo uke unashambuliwa na magonjwa kama yote!

VITU AMBAVYO HUATHIRI VAGINAL pH

1.SABUNI(SOAP)
Tumejengewa Imani kuwa inabidi kuosha uke na sabuni na powders kwamba unatoa harufu huku tukisahau kuwa uke unajisafisha wenyewe(Self cleaning) na Ile harufu ndo Yake sasa hii huathiri ecosystem ya uke. Kuna soaps zina PH 9-10 kwahiyo zinaathiri lactobacilli wanaolinda uke hivyo ulinzi wote unaondoka mashambulizi from infections yanakua very simple
SULUHISHO
Tumia maji Ya moto na kitambaa kuosha uke, au unaweza tafuta soaps zenye pH ya 4.5.

2.NGONO(SEX)
Shahawa zina pH karibia 9 na kuendelea depending na mtu kwahiyo kuwa nazo kwenye ukeni kunaathiri mazingira ya survival ya Lactobacilli kushambuliwa na magonjwa example candida microbes n.k inakua simple
SULUHISHO
Jitahidi kukojoa kila baada ya Kufanya Ngono!

3.KULA VYAKULA VYENYE SUKARI(SUGAR FOODS)
Kula vyakula vyenye sukari kunakaribisha ujio wa sugar loving microbes kama candida ivii instead jaribu kula small amount of sugar na simple carbs kama vile Yoghout na vitu kama Garlic ivii, maana Yoghourt creats mazingira mazuri ya lactobacillus na garlic inafanya mkojo kuwa more acidic.
 
Hiyo ya sperm kuwa na ph kubwa sijaelewa vizuri,
Ila pia solution uliyotoa ya kunawa baada ya sex pia sijaelewa maana njia us mkojo na sex ni mbili tofauti.
Ila pia katika moja ya ushauri wanawake hupewa pale wanapo taka kushika mimba no kutokunawa ili kuruhuru sperm zitembee kuelekea nyumba ya uzazi.
Ufafanunuzi plz
 
Kuna sabuni inaitwa 'KAISIKI'
sabuni ya wanawake kwa ajili ya kunawia ukeni, je hiyo sabuni ni salama kwa matumizi ya huko kwa bibi?
 
Ni kweli tena wakati wa kutafuta mimba mwanamke anashauriwa aweke mto chini ya kiuno alalie kwa dakika kama kumi baada ya sex, lakini kunawa ni muhimu, tumia maji tu. Uke unajisafisha wenyewe kila baada ya masaa nane.
 
..Kaka ukitaka Mimba tumia styles za deep penetration ILI Sperm zikitoka ziingee kwenye cervix kihurahisi,kawaida ukimwaga sperm sio zote znaingia ndani asilia kubwa hufa mwanzoni pale Ivyo huadhiri PH ya UKE
 
huku kwetu kutoka nje usiku ni majanga baada ya show huwa anazimimina naona huwa haziji zote ila kukikucha hata kumgusa HAPANA
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
..tafuta namna ndugu,sio safe kulala nazo kabisa
 
..Kaka ukitaka Mimba tumia styles za deep penetration ILI Sperm zikitoka ziingee kwenye cervix kihurahisi,kawaida ukimwaga sperm sio zote znaingia ndani asilia kubwa hufa mwanzoni pale Ivyo huadhiri PH ya UKE
mwambie atumie dogstyle au chuma mboga ili mbegu kutunga mimba haraka au anapotaka kutoa mbegu ahakikishe anaukandamiza uume wake kushindilia ili mbegu zikajitunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…