mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 944
Mmeamkaje wandugu naomba kufahamu jinsi ya kuupdate gbwhatsapp maana kila nikitaka kuupdate nashindwa kutokana na lugha ya kiarabu maana sina raha kila nikifungua whatsapp notification inakuja kama inavyoonyesha hapo chini