Jinsi ya kuvua pweza

Jinsi ya kuvua pweza

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ni rahisi Sana Ila pia ni kazi uvuaji wake unaenda beach unawakuta kwenye maji madogo wako pweza wadogo unamchoma na mdeki ni kama nondo yenye chambo unamvuta kisha anakuvaa kwenye mkono ile mikia yake unachofanya unamshika kichwa unakigeuza kamfuko Fulani anaishiwa nguvu..

Kama ni pweza mkubwa chukua tahadhari Wana nguvu Sana wanauwezo wa kujizungusha kwenye mkono wako na wakakuvuta kwenye maji marefu ukafa ukizubaa wanaingiza mikia kwenye pua wanakuua Pweza wanatoa wino mweusi kama ngisi ili kupunguza visibility usiwaone.
 
Back
Top Bottom