Heshima mbele wakuu
Nimeona matangazo mengi (mfano makampuni ya simu au benki) katika tovuti na blogu nyingi. Ningependa mnijuze wana JF ninapaswa nitimize vigezo gani ili kuyavutia makampuni kutangaza katika website au blogu yangu. Natanguliza shukrani kwa majibu constructive.