Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐๐ถ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ ๐๐ฑ๐บ๐ถ๐ป ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐ด๐ฟ๐ผ๐๐ฝ ๐น๐ผ๐น๐ผ๐๐ฒ ๐น๐ฎ ๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฝ
Najua umeshawahi kujiuliza hivi inawezekana kuwa group Admin wa Kundi lolote la Whatsapp ?
๐ฏ๏ธNaam inawezekana japo sio ๐ rahisi kha unavyojua Sasa Leo nakuletea maujanja haya ukiyafanya kwenye simu yako ili kuwa admin kwenye group lolote lile sawa !!
๐ฏ๏ธIla unahitaji kidogo uwe na knowledge kuhusu coding kwenye masuala ya binary number ambazo zinahusisha namba mbili TU 0 pamoja 1
๐ฏ๏ธNgoja nikupe list la binary number utatumia kuwa admin wa kikundi chochote Cha Whatsapp bila ruhusa.
0 = 0 0 0 0 ,1 = 0-0-0-1,2 = 0-0-1-0
3 = 0-0-1-1 ,4 = 0-1-0-0, 5 = 0-1-0-1
6 = 0-1-1-0 7 = 0-1-1-1,8 = 1-0-0-0 na 9 = 1-0-0-1
๐ฏ๏ธIli kuwa admin Sasa kwanza ingia kwenye kikundi unachotaka kuwa admin kisha tafuta namba ya admin.
๐ Kopi hiyo namba ya admin kwa mfumo wowote ule huwe wa international au local yani ๐
Mfano +255 655 013 250 au 0788 183 556
๐ฏ๏ธHiyo ni Tanzania format โ๏ธ Sasa hapo unahitaji ku convert hizo number kutoka namba za kawaida kuwa binary number.
โ Mfano 0788 itakua ni 0000011110001000 na nk.ukimaliza Sasa inabidi ufanye kwenye notepad yako kisha uta paste hapa ๐...
โcng=true?=[weka namba ya admin mfumo wa binary]! [Weka namba yako mfumo wa binary ]&findchache.mnc.id=[802]ste5%Set.content?/ rfd=gvโ
Mfano Ambapo itakua kama hivi ๐
โcng=true?=[0000011101110010001101000010000000000000]! [100100010000000000000000000000000000000000000000]&findchache.mnc.id=[802]ste5%Set.content?/ rfd=gvโ
Baada ya hapo utachukua hiyo link nzima utaiweka kwenye kikundi ambacho unataka kuwa admin kisha utatuma.
Ukimaliza Sasa unachotakiwa kufanya ni kutoka kwenye Whatsapp yako ingia setting kwenye simu yako kisha app alafu Tafutq app yako Whatsapp clear data na cache.
Hakikisha umefanya backups za data zako baada ya hapo utafungua Whatsapp na kuandika namba yako na kuingia kwenye Whatsapp yako utaona Sasa umekua admin ๐.
Natumai umefanikiwa sio ๐ช t
uachie maoni yako Sasa ?