Jinsi ya kuwa bilionaire!

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
HOW BILLIONARES THINK!!

If your boss paid you 600,000 every month and you saved all that money without touching a coin, you would need to work for 36 months to get 21million.

But if you convinced an organization like The UN to give you a printing job for only 5000 umbrellas and you made shs 4000 from each umbrella that would be 5000x2000=20,000,000. In only 1day.

It becomes crazy if you want to become a Billionare.

Say your boss pays you 1M per month and you saved all that money without touching a single coin.

This means that in a year you would only have 12million.

So that means it would need you to work for 84years to get 1billion (How old are you today??).

However, there are 45million people in Tanzania if
you supllied salt to 10 million of them once per
month making Shs 400 per packet, it would only take you 1year to be a bilionare.

The lesson learned here is that if you want to be rich you stop Dealing with Bosses. If you deal with Bosses you will never be rich.

If you want to be rich start dealing with clients not Bosses.

Have a great weekend!!! And a great end of month!!
 
Billionaire hana muda wa kuja kuandika hapa.
Asante kwa somo zuri.
 
Asante kwa somo kama haujawa bilionaire basi unaelekea huko
 
Unavyoongea kirahisi rahisi, nakuhakikishia mambo sio rahisi kiasi hicho kama unavyofikiri unless tayari una pesa, ni rahisi tajiri kua tajiri zaidi ila kwa maskini kua tajiri ni ngumu mno.

UN wakupe tenda ya kuprint miamvuli 5,000 ukiwa kama nani? Na kwa kila mwamvuli utengeneze faida ya 4,000? hehe unafanya utani, we unadhani mwamvuli ni bei gani hadi uwe na margin kubwa namna hiyo ya profit? Na unavyosema kuprint miamvuli 5,000 hiyo kampuni tayari unayo?

Swala lako la pili la ku~supply salt kwa watu 10M kwa mwezi, making 400 kama profit, chumvi hizi za 400 alafu utengeneze faida ya 400? Products kama chumvi zina margin ndogo sana. Na bado supply ya 10M unaichukulia poa sana, its very hard kuproduce that amount kama kampuni moja, alafu unasahau kua kuna competitors, hiyo 10M ni zaidi ya entire market ya Tanzania for salt, kampuni yako ina nini special hadi ichukua 100% of the market? competitors wako unadhani wamelala?

Ni rahisi kua na plan ila sio kitu rahisi kuzitimiza kama mnavyofikiria, its very hard kuanzisha a successful company. Ungeniambia billionaire wanafikiria kutry na kufail hadi wafanikiwe labda ningekuelewa, kazi zinahitaji kua aggressive na kupima kujua tatizo lipi ukilisolve litakulipa. Mambo mengine ni maneno tu maskini wanapenda kuyaongea kujifariji ila hamna kitu.
 
abunuasi huyo. Kasoma kitabu sijui ndo kinampa mihemko..
 
[emoji250] twa ...!?!
 
Billionaire wa ushoga[emoji115].
Mmmh [emoji288] kweli imekwisha hata wewe umekua shoga unajiita billionaire ...!?!
 
Watu wengi mna roho za kimaskini Sana, hapo ametoa mfano tu, siyo lazima uuze chumvi au uombe tenda UN, amesema u dili na clients na siyo kuajiriwa.
akisema chumvi na wewe umekomaa na chumvi kweli.
yapo mambo mengi Sana ya kufanya.
by the way, Hakuna lisilowezekana chini ya jua, you're what you think, ukiamini huwezi na kweli hutaweza.
 

Nyie ndio hua mnakaa mnasikiliza sana inspirational quotes alafu mnajiona mshakua billionaires. Yale hua ni maneno tu ya kufariji nothing more, ni sawa na maskini anayesema ati yeye na tajiri wote wanazikwa kwenye udongo. Real life hali ni tofauti. Alafu clearly you didn't get my point, nasema sio rahisi kufika level hiyo kama unavyofikiria, yeye ame~exaggerate as if kila kitu kinapatikana kirahisi tu.
 
Uko njema asee
 
Bado tu fikra zako ni za kifukara sana, watu wengi waliofanikiwa duniani walikuwa inspired, ili ufanikiwe lazima uwe na burning desire, lazima utamani utajiri kwanza.
huwezi kuamka asubuhi ukaukuta kitandani, kupitia kutamani ndo unafanya kazi Kwa bidii na Kwa malengo until you achieve your dreams.
Kama huwezi kufanikiwa ni wewe, usidhani kila mtu anafikiria Kama wewe.
Eti siyo rahisi, si rahisi kwako wewe usiye na hasira ya mafanikio, wenye hasira ya kufanikiwa wanaona simple tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…