Ziwe safi,zikutoshe,zilizonadhifu pasi nk inahusika,hazijachanika wala kuchoka sana.Utapendeza tu.Binafsi siamini kwamba nguo za aina flani zinamfanya mtu kuwa smart. Kuwa smart ni wewe mwenyewe nakujiamini kwako. kuwa smart ni kuchagua mtindo au style yako mwenyewe, sio kuiga wavaavyo wengine. Nguo zozote unazo vaa zitakufanya uwe smart.
Ata mtumbqBinafsi siamini kwamba nguo za aina flani zinamfanya mtu kuwa smart. Kuwa smart ni wewe mwenyewe nakujiamini kwako. kuwa smart ni kuchagua mtindo au style yako mwenyewe, sio kuiga wavaavyo wengine. Nguo zozote unazo vaa zitakufanya uwe smart.
ata mtumba ni nguo nzuri tu. Unaweza pendeza hata kwa nguo za kushona kwa fundi cherehaniAta mtumbq
Yah nikweliata mtumba ni nguo nzuri tu. Unaweza pendeza hata kwa nguo za kushona kwa fundi cherehani