Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
Sasa mkuu mpaka unafika level ya udaktari hujajua tu! Anyways juhudi ukiwa na maarifa ya chochote utakachoamua kufanya..Nataka mtu anishauri kwa undani how to become rich. Ninahakikisha hapa kuwa, kitakachosemwa nitakifanyia kazi na kuleta mrejesho hapa baada ya kufanikiwa.
Sawa ahsantee sanaSasa mkuu mpaka unafika level ya udaktari hujajua tu! Anyways juhudi ukiwa na maarifa ya chochote utakachoamua kufanya..
Safi SANABahati pia ina nafasi kubwa kuliko watu wanavoamini....
Ndio kwa kufanya vitu sahihi ambavyo vitakupeleka kwenye lengo lako...Safi SANA
naweza kutengeneza bahati?
Safi mnoNdio kwa kufanya vitu sahihi ambavyo vitakupeleka kwenye lengo lako...
lakini kuna ile bahati ambayo ni random, vitu vinavokutokea kwenye maisha yako bila hata wewe kujua...
Kila siku wanatafuta pesa kwa kazi ngumu ila bado masikini!!!Njia ni moja tu. Tafuta hela
🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨Bahati pia ina nafasi kubwa kuliko watu wanavoamini....
Uwe na good management nzuri ya pesa inayoingia na kutoka. Na uwezo wa kunza pesa (kuifuga) hadi ipate mimba na kuzaaNataka mtu anishauri kwa undani how to become rich. Ninahakikisha hapa kuwa, kitakachosemwa nitakifanyia kazi na kuleta mrejesho hapa baada ya kufanikiwa.
Be stingy.Nataka mtu anishauri kwa undani how to become rich. Ninahakikisha hapa kuwa, kitakachosemwa nitakifanyia kazi na kuleta mrejesho hapa baada ya kufanikiwa.
Nashukuru sanaUwe na good management nzuri ya pesa inayo ingia na kutoka. Na uwezo wa kunza pesa ( kuifuga ) hadi ipate mimba na kuzaa
SafiiiiiBe stingy.
Hakuna tajir sio bahili
Ahsantee sana mkuu Mungu akubalikiDr wa Kaliua
Good solid idea + work.
How hard you work and how creative you are will determine your success.
A Bad Idea will always net nothing.
A Good Idea with little work and poor creativity will fail.
A Good idea putting in more work and creativity than your competition will net success.
Sometimes it's luck..sometimes it's a combination..It's never just hard work.Bahati pia ina nafasi kubwa kuliko watu wanavoamini....
Ana udaktari wa heshima.Sasa mkuu mpaka unafika level ya udaktari hujajua tu! Anyways juhudi ukiwa na maarifa ya chochote utakachoamua kufanya..
Sometimes it's tax evasion[emoji23]Sometimes it's luck..sometimes it's a combination..It's never just hard work.