Jinsi Ya Kuwa Ujasiriamali

seansenior

Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
10
Reaction score
17
Jamani nataka kuwa mjasiriamali? Na nataka nianzishe biashara yangu kwa mtaji mdogo sana,je una niashauri nini kwenye biashara hiyo ambayo nataka niifanya ingawa bado sijaifikilia biashara gani ili nijikwamue kimaisha
 
mpaka hapo tu tayari ushafeli unataka ushaur hata idea huna!
 
Jamani nataka kuwa mjasiriamali? Na nataka nianzishe biashara yangu kwa mtaji mdogo sana,je una niashauri nini kwenye biashara hiyo ambayo nataka niifanya ingawa bado sijaifikilia biashara gani ili nijikwamue kimaisha
Mtaji mdogo ndio kitu gani hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…