Jinsi ya kuwapokea Timu zetu zinaporudi baada ya kushinda. Ushauri kwa TFF

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Nimeona mara nyingi wanatuhikiz tufike airport kuwapokea na baada ya kuwapokea wana panda basi lao.wanenda waendako.

Hii sio nziuri kabisa.. TFF tafuteni hata gari kubwa la wazi wachezani wapitishwe mitaani tuwalaki na kuwashangilia . Kama maiti za watu maarufu zinapitishwa mitaa karibia yote ya dar sembuse washindi wanalipa taifa sifa za kutukuka.


Mfano vijana wa u20 wamechukua kombe la cecafa kumbukumbunimesha potea na baada ya kupokelewa pale airport walipelekqa kula na ikaishia hapo.

Tafuta watu wanaojua kusberehesha na kupangilia mambo walau na watanzania tufurahi au gharama za kukodi gari ni kubwa sana mnabana matumizi.

Picha ni wajerumani wakiwapokea masbujaa wao.wa world cup
 
Umenikumbusha Croatia mwaka jana walipokelewa vzrii kweli yaani wangekua mabingwa cjui ingekuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…