Jinsi ya kuwatawala Watu, Dini na Serikali kutumika vibaya

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
10,002
Reaction score
16,240
Mifumo ya kidini inaingiliana sana na serikali,
Kwa vile serikali inalipa wafanyakazi pesa mwisho wa mwezi basi na Makanisa yakaona kutoza fungu la Kumi kila mwezi
huwenda ni tamaduni tumeiga kutoka kwa watu fulani,
nafikiri fungu la kumi kutoa nikwa waajiliwa tu, kwa wafugaji sijajua inakuaje na Watumwa,
By the way Kutoa sadaka inategemea na Mungu wako anataka nini kulingana na alivyokupa.

Makabila yanayounda taifa la Tanzania yanakuwa kitu kimoja kwa kufata taratibu na sheria (Katiba)

hii mifumo ya kidini na serikali huamua kufanya kazi na kutawala Taifa kwa Pamoja kwa utaratibu maalumu.

Sasa ukitaka unufaike wewe zaidi na kuwa Tajiri bila kuvuja jasho, ni Lazima ucheze mchezo fulani.

Game:
Huu mchezo ni mchezo wa kushinda kukontrol Mali za nchi na Pesa zote..

Kwahiyo huu mchezo ni kama mtihani, ukitaka kushinda kwa asilimia 100 unatakiwa kuibia (kuigilizia majibu)

Ukionekana kuiba kila mtu atataka kukufunga na kukupeleka gerezani.

Kwahiyo inatakiwa kuwe na Siri (secret)
hapa ndio tunawapata akina Secret society.

Wanatuibia tena kwa siri sana ni watu wachache ambao wanafanya mambo yao kwa siri sana,
na wapumbavu walio wengi wanabaki masikini na ombaomba milele

Hawa watu wanajua kanuni za kiroho vizuri sana, na hata kushirikiana na viumbe wa Kiroho kuwa na nguvu ya kutawala kwa manufaa yao zaidi bila watu wengine wengi kulitambua hilo..

Kwahiyo wanafanya nao ibada zao na kafara kwa wingi,

Kwahiyo ni vita kujikomboa kutoka katika vifungo vya fikra za kutawaliwa na kikundi knachojiita serikali tawala isiofata Utaratibu au Sheria tulizo jiwekea.
 
+ Waingereza walivyoona fursa katika Dini wakaanzisha Aglikan church. Na mfalme au malkia wa England huwa ndio kiongoz mkuu wa waanglikana wote Dunian. Alaf wanakuwa na Askofu mkuu.

Dini + Siasa = mfumo wa kutawala Dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…