Jinsi ya kuwatunza kuku wa kienyeji

Jinsi ya kuwatunza kuku wa kienyeji

achengula

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
369
Reaction score
62
Utunzaji wa kuku wa kienyeji ni rahisi ukilinganisha na kuku wa kisasa, tangu wakiwa wadogo hadi wakubwa kwani chakula wanachohitaji kinapatikana kirahisi lakini pia hawashambuliwi na magonjwa kama walivyo kuku wa kisasa. Uhitaji wake wa soko kwa sasa ni mkubwa sana kwani walaji wengi wa kuku wameona kuwa hawa ni kuku wasiopewa madawa mengi.
Hivyo, unaweza kutunza kuku wa kienyeji na ukawa na kipato cha uhakika, pamoja na lishe nzuri kwa ajili ya familia yako.
Soma hapa SEKTA YA MIFUGO TANZANIA kwa maelezo zaidi juu ya ufugaji wa kuku na mifugo mingine.
 
Back
Top Bottom