mnyongeni
Senior Member
- Dec 6, 2011
- 141
- 24
Msaada jamani. Ninataka kuweka mbolea shambani. Sijui niwekeje. Maana washauri wejgi mmno. Nashindwa nifanye ipi iliyo bora. Kati ya
1.kumwaga kama kwenye mchicha
2.kuchimba kati ya mstari na mstari kisha kuweka mbolea
Au
3. Kufukua pembeni ya kitunguu na kuweka mbolea. Msaada please.
1.kumwaga kama kwenye mchicha
2.kuchimba kati ya mstari na mstari kisha kuweka mbolea
Au
3. Kufukua pembeni ya kitunguu na kuweka mbolea. Msaada please.