Jinsi ya kuwezesha digital payment kwenye Application yangu

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Habari wadau,

Ninataka kujua namna ya kuzesesha Digital Payment kwenye application yangu. Yaani mtu alipie kutoka mtandao wa simu moja kwa moja kwa kuweka kiasi kwenye application halafu simu yake ipate alert aweke namba ya siri pekee. Kama wanavyofanya Sportpesa.
 
Au kama GePG malipo ya serikali app au my dstv app.

Kuna jamaa namfahamu ni IT mnyama sana, ni mtumishi wa serikali ameshiriki kutengeneza GePG app. Ukitaka unyama tafuta IT wataalamu wazee wa kuchapa codes
 
Mkuu naheshimu mawazo yako lakini mimi sitafuti mtaalam wa codes. natafuta mtu anaejua process za kufuata ili nipate API access ya mtandao husika kama tigo au vodacom.
 
Okay, mimi wala sio mtaalamu wa hayo mambo mkuu, kwa hiyo nilijua kufanya hivyo ni mambo ya codes. Mcheki bwana mdogo mmoja anajiita @kagaconnect au @iamkaga pale twitter nafikiri anaweza kukusaidia hilo
 
Mkuu naheshimu mawazo yako lakini mimi sitafuti mtaalam wa codes. natafuta mtu anaejua process za kufuata ili nipate API access ya mtandao husika kama tigo au vodacom.

Chagua provider mmoja wa izo gateway, nenda watakupa maelekezo yote. Kwa selcom, utajaza kwanza form, uwe na vitambulisho, tin, lesen ya biashara etc. then watakuandalia keys baada ya siku tatu/nne itatumiwa email na documentation zote ili kuanza integration na API yao. Wana gateway za mitandao yote na bank zote.

Beem pia ni moja wapo lakn nadhan mpaka sasa hivi wana tigopesa tu
 
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom