Mkuu naheshimu mawazo yako lakini mimi sitafuti mtaalam wa codes. natafuta mtu anaejua process za kufuata ili nipate API access ya mtandao husika kama tigo au vodacom.Au kama GePG malipo ya serikali app au my dstv app.
Kuna jamaa namfahamu ni IT mnyama sana, ni mtumishi wa serikali ameshiriki kutengeneza GePG app. Ukitaka unyama tafuta IT wataalamu wazee wa kuchapa codes
Okay, mimi wala sio mtaalamu wa hayo mambo mkuu, kwa hiyo nilijua kufanya hivyo ni mambo ya codes. Mcheki bwana mdogo mmoja anajiita @kagaconnect au @iamkaga pale twitter nafikiri anaweza kukusaidia hiloMkuu naheshimu mawazo yako lakini mimi sitafuti mtaalam wa codes. natafuta mtu anaejua process za kufuata ili nipate API access ya mtandao husika kama tigo au vodacom.
Mkuu naheshimu mawazo yako lakini mimi sitafuti mtaalam wa codes. natafuta mtu anaejua process za kufuata ili nipate API access ya mtandao husika kama tigo au vodacom.
πππChagua provider mmoja wa izo gateway, nenda watakupa maelekezo yote. Kwa selcom, utajaza kwanza form, uwe na vitambulisho, tin, lesen ya biashara etc. then watakuandalia keys baada ya siku tatu/nne itatumiwa email na documentation zote ili kuanza integration na API yao. Wana gateway za mitandao yote na bank zote.
Beem pia ni moja wapo lakn nadhan mpaka sasa hivi wana tigopesa tu