Jinsi ya Kuwezesha Vijana na Wanawake Kupata Mkopo wa Asilimia 10 wa Halmashauri

Jinsi ya Kuwezesha Vijana na Wanawake Kupata Mkopo wa Asilimia 10 wa Halmashauri

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Uzi huu ni maalumu kwa Vijana wanao hitaji kupata mikopo ya asilimia 10.
Ni maalumu pia kwa wanawake wanao hitaji kupata mikopo ya asilimia 10.

Utaeleza mambo yafuatayo:

(1) Utaeleza vitu vinavyo hitajika unapofanya maombi ya mkopo wa asilimia 10 wa halmashauri.
(2) Utaeleza jinsi ya kurejesha hiyo mikopo kwa haraka.
(3) Utaeleza muda wa dirisha la mikopo kufunguliwa.

Tunategemea maelezo ya kina ya watu mbalimbali walio wahi kufanya maombi ya mikopo hii.

Swali la kwanza
Ni vitu gani huhitajika unapofanya maombi ya mkopo wa asilimia 10 wa halmashauri?

Swali la pili
Ni hatua zipi mwombaji wa mkopo wa asilimia 10 wa halmashauri hutakiwa kufuata?
 
Tangazo uwa linatoa maelezo yote ya msingi nini cha kufanya au kuandaa, usi overthink mkuu.
Tembelea ofisi za kata au mtaa kufuatilia kama mkurugenzi wa halmashauri katoa Tangazo
 
Hivi hiyo mikopo inatoka kweli au ni geresha tu
 
Hivi hii mikopo iliishia wapi mbona hadi sasa bila bila
 
Back
Top Bottom